Lulu afafanua kuhusu picha yake na Tekno

share on:

lulu teknoElizabeth Michael (Lulu) amefafanua kuhusu tuhuma zilizomkabiri tangu Ujio wa Show ya Tekno msanii toka Nigeria.

Utata ulianza baada ya Tekno kupost picha akiwa na Lulu huku baadae zikaenea tena picha za Tekno na Gigy Money, Na hapo ndipo Raia walipoanza ku judge yao etiiiiiiiii kwambaaaaaaaaaaaa Bwana Tekno amewala uroda mabinti hao wawili.

lulu tekno 1

Hiki ndicho alichoeleza Lulu baada ya uvumi huo, ”Β Okay…naona watu Mnatafutaga Topic Na mkipata picha story mnatungaga mnazozijua
NI hivi….naomba heshima Na busara vitumike
Nilikutana Na Tekno Kwenye show yake Na alikuja kunisalimia kwenye meza Yangu,picha zote zilizopigwa Na yeye au mtu mwingine yoyote zilipigwa kwenye meza yangu by the time amekuja kunisalimia,Na sio mm tu niliyepiga nae picha NI watu wengi…kuhusu issue yake Na whoever called Gigy me cjui Coz hata sikuwepo wakati wanapigana picha zao…Kwahyo mni exclude kwenye hyo issue Yao
Nilikuwa najua akili Za watu wengi NDO maana hata sikuthubutu kupost picha yangu Na Tekno B4 this issue
Mnachotakiwa kujua….nilienda kwenye show as a fan n nothing else😊Na NDO maana hata Post alopost Na mm ka post Kwa heshma Na Taadhima
Hakuna Mahusiano Mengine zaidi ya Hapo hata Tekno anajua….au Kama kuna mtu ana picha yangu Na Tekno yenye Utata nje ya eneo la show yake Anisaidie hapa sshv..!
Hebu jaribuni Kuwa mnaongelea vitu mnavyovijua Kwa kina Na sio kunganisha unganisha tu..!
Sijaeleza maelezo mengi kwaajili ya KIMA yoyote alosema/kusambaza habari uongo…nijieleza ili wale wachache wenye akili zao wasiendelee kupotoshwa…. ”

Mwisho akamalizia na “Gotta Sleep wth Bae now…🚢🚢🚢”

Comments

comments

Leave a Response