Download wimbo mpya wa Mzee Yusuf Ft Vanessa Mdee – Hewallah

share on:

Mfalme wa Taarabu Tanzania Mzee Yusuf amekuja na hii nyengine mpya anakwambia “Hewallah” akiwa amemshirikisha mwanadada mkali wa Bongo Fleva Vanessa Mdee “Vee Money”

Hapo ni ladha mbili zimechanganyika Taarab na Bongo Fleva, sasa pata picha Vanessa akitembea kwenye ngoma ya taarab inakuaje.

Fanya kuusikiliza wimbo huu hapa chini

Download Mzee Yusuf Ft Vanessa Mdee – Hewallah

download

Comments

comments

Leave a Response