Download wimbo mpya wa Stamina Ft Mr Blue – Panga Pangua

share on:

Leo Stamina ameachia album yake aliyokuahidi Mt. Uluguru ikiwa na nyimbo 20!

Licha ya hiyo, Stamina ameongeza nyimbo 6 BONUS kwenye album hiyo ambazo zitakuwa zikipatikana Mkito.

Wimbo wa kwanza kwenye bonus hizo ni huu hapa akimshirikisha Mr Blue, Panga Pangua!
Link > https://mkito.com/song/panga-pangua-ft-mr-blue/18431/bwi-4-36192

download

Comments

comments

Leave a Response