News

Wema Sepetu kujifungua miezi saba ijayo, Idris afunguka

Juzi Idris aliweka wazi kuwa Wema Sepetu ni Mjamzito na anategemea kupata mtoto hivi karibuni, hii imeondoa zile...

Diamond Platnumz kajenga Msikiti wenye thamani zaidi ya Milioni 30

Inawezekana umemuona mwimbaji staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz akiwa kwenye maisha mazuri kuanzia nyumbani kwake mpaka usafiri...

Kwa picha hii Sio siri tena, Jokate na Ali Kiba wako katika mahaba mzito

Ali Kiba na Jokate walikuwa wanafanya siri mahusiano yao lakini sasa hivi kwa asilimia zote wawili hawa ni...

Diamond Platnumz: Nikiacha muziki nataka kuwa waziri wa Michezo

Diamond Platnumz kumbe nae anapenda siasa, na ameweka wazi kuwa kama leo akiacha muziki atapenda sana kuwa waziri...

Wema Sepetu ni Mjamzito!!! Idris Sultan athibitisha ujauzito huo

Zile fununu zilizokuwa zikisemwa na watu mbali mbali kuhusu uwezekano wa Wema Sepetu kuwa mjamzito zimemalizwa na Idris...

Baada ya Nagharamia kufikisha watazamaji milioni 1, Ali Kiba kuja na video mpya hivi karibuni

Ally Kiba alitoa ahadi ya kutoa video mpya pindi video yake ya Nagharamia ikifikisha watazamaji milioni moja katika...

Snoop Dogg: Kumpuzika kuvuta bangi kumenifanya niwe mtu poa

Snoop Dogg amejiwekea utaratibu wa kupumzika kutumia Bangi kwa miezi mitatu ndani ya mwaka mmoja, hicho ni kipindi...

Baada ya kumaliza bifu, Lil Wayne na BirdMan waingia Studio kutengeneza ngoma mpya.

Birdman na Lil Wayne wameacha tofauti zao na sasa wako pamoja tena baada ya Bifu zito lililokuwepo kati...

Diamond Platnumz: Kama Tiffa sio mwanangu, zaa wa kwako awe wa halali

Kumekuwa na maneno mengi ambayo watu mbalimbali wamekuwa akiyajadili kuhusu Diamond Platnumz hasa kuhusu mwanae Tiffa kuwa sio...

Zigo Remix yaingia Top 10 kwa kusikilizwa katika Mtandao wa Audio Mack ndani ya siku moja

Hii inaweza ikawa ni nyimbo ambayo imepokelewa vizuri sana na mashabiki wa muziki katika mwaka huu wa 2016,...